NK ulikuwa ni ukumbi maarufu kwa Sinema na Disco miaka ya tisini... TAIZ Restaurant - ilikuwa pale kuu street ikitazamana na jengo la TRA au Bank ya NBC Wimpy - Kiosk maarufu cha juis na chakula, ikipakana na jengo la CDA enzi hizo (kwa sasa Halmashauri ya Jiji), pia ikitazamana na round about ya katikati ya mji
Comments
Post a Comment