DODOMA - kumbukumbu katika picha

NK ulikuwa ni ukumbi maarufu kwa Sinema na Disco miaka ya tisini...

TAIZ Restaurant - ilikuwa pale kuu street ikitazamana na jengo la TRA au Bank ya NBC

Wimpy - Kiosk maarufu cha juis na chakula, ikipakana na jengo la CDA enzi hizo (kwa sasa Halmashauri ya Jiji), pia ikitazamana na round about ya katikati ya mji







 

Comments

Popular posts from this blog